Papa Wemba alifariki jana baada ya kuanguka akiwa stejini huko Abidjan nchini Ivory Coast alipokuwa akifanya onyesho.
27/04/2016
Angalia video na alichokiandika Diamond kuhusu kifo cha Papa Wemba
Papa Wemba alifariki jana baada ya kuanguka akiwa stejini huko Abidjan nchini Ivory Coast alipokuwa akifanya onyesho.
Diamond kupitia Instagram ameandika hivi; “Wiki nne tu zilizopita tulikuwa Paris, akanishirikisha kwenye nyimbo yake, tukapanga mengi juu ya wimbo halafu ghafla nasikia habari ya msiba… Dah! nimesikitika sana, hakika binadamu ni wazungumzaji tu ila Mwenyezi Mungu ndiyo mpangaji…Pumzika salama, kiongozi wetu daima tutakukumbuka
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
…
#RipPapaWemba (Wiki nne tu zilizopita tulikuwa Paris, Akanishirikisha
kwenye nyimbo yake, tukapanga mengi juu ya wimbo halaf ghafla naskia
habari ya Msiba…Dah! nimesikitika sana, Hakika binadamu ni wazungumzaji
tu ila Mwenyez Mungu ndio Mpangaji…Pumzika salama Kiongozi wetu daima
tutakukumbuka
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni