Shilole (kulia) akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.
Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao.
Mtangazaji wa kituo cha Clouds FM, Hamisi Mandi ‘B12’, akiwakaribisha Shilole na Vanessa Mdee tayari kwa kufanya shoo hiyo.
Shilole akifanya makamuzi.
Vanessa akikamua jukwaani.
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.
WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia
ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku
wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye
mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi
wa Bilicanas.
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni